Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wilaya ya Kilosa

Kwa maana nyingine za jina angalia hapa Kilosa

Mahali pa wilaya ya Kilosa (kijani cheusi) katika mkoa wa Morogoro (kabla haijamegwa).

Wilaya ya Kilosa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 674.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 489,513 [1]. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 617,032 (baada ya kumegwa ili kuanzisha wilaya ya Gairo)[2].

  1. "Tanzania.go.tz/census". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-20. Iliwekwa mnamo 2004-03-20.
  2. https://www.nbs.go.tz

Previous Page Next Page






Kilosa (distrito) CEB Kilosa (Distrikt) German Περιοχή Κιλόσα Greek Kilosa District English Kilosa Spanish Distretto di Kilosa Italian Kilosa (huyện) VI Kilosa District ZU

Responsive image

Responsive image