Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wilaya ya Kigoma


Wilaya ya Kigoma Vijijini
Nchi Tanzania
Mkoa Kigoma
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 222,792
Muonekano wa vijiji vya Kigoma ukiwa Ziwa Tanganyika.

Wilaya ya Kigoma ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kigoma yenye msimbo wa posta 47200.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 211,566 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 222,792 [2].

  1. "Tanzania census, Kigoma District Council". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-13. Iliwekwa mnamo 2014-01-16.
  2. https://www.nbs.go.tz

Previous Page Next Page






Kigoma Rural (distrito sa Tanzania) CEB Kigoma (Distrikt) German Αγροτική Περιοχή Κιγκόμα Greek Kigoma Rural District English Distretto rurale di Kigoma Italian Kigoma Rural District ZU

Responsive image

Responsive image