Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wilaya ya Gairo

Gairo ni wilaya mpya katika mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67700, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Hadi 2012 ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kilosa.

Makao makuu ya wilaya yako Gairo, mji wenye maendeleo ya haraka.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012 kata ilikuwa na wakazi wapatao 193,011.[1] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 258,205 [2].

  1. http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine. Sensa ya 2012 - Morogoro - Gairo
  2. https://www.nbs.go.tz

Previous Page Next Page






Gairo (distrito) CEB Gairo (Distrikt) German Περιοχή Γκαΐρο Greek Gairo District English Gairo (Morogoro) Spanish Distretto di Gairo Italian Gairo District ZU

Responsive image

Responsive image