Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wikimania

Alama ya Wikimania
Nembo la Wikimedia Foundation

Wikimania ni tukio la kila mwaka la kimataifa wa Wikimedia. Mkutano wa kwanza wa Wikimania, ulifanyika mwaka 2005 huko nchini Ujerumani. Mkutano huu ulifanyika tarehe 4 Agosti, 2006 huko Cambridge, Massachussetts, Marekani. Wikimania ni mkutano wa kijamii na kisayansi ambao utajumuisha washiriki wa Miradi ya Wikimedia ili kubadilishana mawazo, kujenga mahusiano, na kutoa taarifa za tafiti na juhudi mbalimbali za miradi hiyo.

Mkutano huu hutoa nafasi pia kwa washiriki wa miradi ya Wikimedia kukutana na kubadilishana mawazo na umma kuhusu miradi ya zana huria za teknolojia, maarifa huria na miradi ya wiki duniani.

Mkutano wa Wikimania 2007 ulifanyika kwa mara ya tatu kuanzia tarehe 3-5 Agosti, katika mji wa Taipei, Taiwan. Mkutano wa kwanza wa Wikimania 2005ulifanyika nchini Ujerumanikuanzia tarehe 4-8 August. Mkutano wa pili waWikimania 2006 ulifanyika 4-6 Agosti huko Cambridge, Massachussetts, Marekani.

Wikimania ni mkutano wa kijamii na kisayansi ambao unajumuisha washiriki wa Miradi ya Wikimedia ili kubadilishana mawazo, kujenga mahusiano, na kutoa taarifa za utafiti na juhudi mbalimbali za miradi hiyo.

Mkutano huu hutoa nafasi pia kwa washiriki wa miradi ya Wikimedia kukutana na kubadilishana mawazo na umma kuhusu miradi ya zana huria za teknolojia, maarifa huria na miradi ya wiki duniani.


Previous Page Next Page