Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Serbia

Република Србија
Republika Srbija

Jamhuri ya Serbia
Bendera ya Serbia Nembo ya Serbia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}}
Wimbo wa taifa: Bože pravde
Mungu wa haki
Lokeshen ya Serbia
Mji mkuu  Belgrad
44°48′ N 20°28′ E
Mji mkubwa nchini Belgrad
Lugha rasmi Kiserbia kinachoandikwa
kwa Mwandiko wa kikirili(1)
Serikali Jamhuri
Aleksandar Vučić
Ana Brnabić
Kutokea kwa taifa la Serbia
Kuzaliwa kwa taifa
Uhuru
kuanzishwa kwa Ufalme
kutwaliwa na Dola la Uturuki
Uasi wa kwanza
Katiba ya kwanza
Kutambuliwa na Mkutano wa Berlin
Yugoslavia
Serbia na Montenegro

karne ya 8
1166
1077
1459
14 Februari 1804
15 Februari 1835
1878
1918
5 Juni 2006
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
88,361 km² (ya 113)
0.13
Idadi ya watu
 - [[{{{population_estimate_year}}}]] kadirio
 - 2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
{{{population_estimate}}} ({{{population_estimate_rank}}})
7,186,862
92.8/km² (ya 112)
Fedha Dinari ya Serbia (2) (RSD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
{{{time_zone_DST}}} (UTC{{{utc_offset_DST}}})
Intaneti TLD .yu (.rs) (3)
Kodi ya simu +381 (4)
1 Jimboni Vojvodina zifuatazo ni lugha rasmi kieneo: Kihungaria, Kislovakia, Kiromania, Kirusyn na Kikroatia. Katiba mpya imepanga pia kukubaliwa kwa mwandiko wa Kilatini kwa Kiserbia pamoja kikirili. Jimboni Kosovo lugha rasmi ni pia Kialbania na Kiingereza.
2 Euro hutumiwa jimboni Kosovo pamoja na dinar.
3 ".rs" ni rasmi tangu Septemba 2006 lakini anwani zenye ".yu" bado zinatumiwa.
4 pamoja na Montenegro hadi 2007.



Serbia (kwa Kiserbokroatia: Република Србија au Republika Srbija) ni nchi ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani.

Imepakana na Hungaria, Bulgaria, Romania, Masedonia Kaskazini, Kosovo (au Albania), Montenegro, Bosnia na Herzegovina na Kroatia.

Nchi ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na inatarajia kujiunga na Umoja wa Ulaya.

Mji mkuu ni Belgrad, wenye wakazi milioni 1,2.

Miji mingine muhimu ni Novi Sad (mji mkuu wa jimbo linalojiendesha la Vojvodina), Niš (mji mkubwa zaidi wa kusini na mashariki mwa Serbia) na Kragujevac katika Serbia sahihi, Priština katika jimbo linalojiendesha la Kosovo (hali si ya uhakika).

Miji mingine mikubwa ni Subotica, Novi Pazar, Pančevo, Zrenjanin, Kraljevo, Kruševac, Leskovac, Smederevo na mingine.

Miji muhimu kihistoria na kiutamaduni (ingawa midogo) ni Sremski Karlovci, Negotin, Vranje, Zaječar na Požarevac.


Previous Page Next Page






Сербиа AB Sèrbia ACE Сербие ADY Serwië AF Serbien ALS ሰርቢያ AM Serbia AMI Serbia AN Serbia ANG Sebia ANN

Responsive image

Responsive image