Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Sava


Sava
Mahali paSava
Mahali paSava
Mahali pa Mkoa wa Sava katika Madagaska
Majiranukta: 14°16′S 50°10′E / 14.267°S 50.167°E / -14.267; 50.167
Nchi Madagaska
Wilaya 4
Mji mkuu Sambava
Eneo
 - Jumla 25,518 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - Wakazi kwa ujumla 805,300

Sava ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 805,300. Mji mkuu ni Sambava.


Previous Page Next Page