Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Oksidi

Kiini cha kitengo cha rutile, oksidi muhimu ya titani. Vituo vya Ti(IV) ni vya kijivu; vituo vya oksijeni ni nyekundu. Ona kwamba oksijeni huunda vifungo vitatu kwa titani na titani huunda vifungo sita vya oksijeni.


Oksidi ni kampaundi ya kikemia yenye angalau atomu 1 ya oksijeni pamoja na angalau atomu moja ya elementi nyingine.

Mifano ya oksidi ni pamoja na:

Metali nyingi hupatikana kama mitapo ambamo metali kama chuma ina umbo la oksidi.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oksidi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Previous Page Next Page






Oksied AF أكسيد Arabic Óxidu AST Oksidlər AZ اوکسید AZB Оксидтар BA Аксіды BE Аксыд BE-X-OLD Оксид Bulgarian অক্সাইড Bengali/Bangla

Responsive image

Responsive image