Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Msichana

Msichana Mwafrika wa Mali.

Msichana ni mwanamke ambaye hajafikia ukomavu wa utu uzima, ni kijana wa jinsia ya kike, ijapokuwa si tena mtoto tu wa binadamu.

Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja kama 'wasichana' wanawake waliokua, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani.

Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia umri wa balehe (huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya wanawake kamili.

Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yake sehemu za kiunoni na mabegani yanakuwa kubwa, sauti na sura huwa nzuri inayovutia na anaanza kuwa na hedhi.


Previous Page Next Page






Limecedan no Pangcah AMI लड़की ANP بنت Arabic ছোৱালী AS Ickwecic ATJ बिटिया AWA Qız AZ قیز AZB Diandl BAR Aking babayi (edad) BCL

Responsive image

Responsive image