Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Mkoa wa Geita


Mkoa wa Geita
Mahali paMkoa wa Geita
Mahali paMkoa wa Geita
Mahali pa Mkoa wa Geita (nyekundu) katika Tanzania
Nchi Tanzania
Wilaya
Mji mkuu Geita
Serikali
 - Mkuu wa Mkoa
Idadi ya wakazi (2022)
 - Wakazi kwa ujumla 2,977,608

Mkoa wa Geita ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepakana na mikoa ya Kagera na Kigoma upande wa magharibi, Shinyanga upande wa kusini na Mwanza upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini.

Makao makuu ya mkoa yapo Geita mjini.

Kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Geita, eneo hili lilikuwa sehemu ya mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Kagera. Mkoa wa Geita ulikadiriwa kuwa na wakazi 1,882,141 mnamo mwaka 2015.[1] Kwa sasa wakazi ni 2,977,608 (sensa ya mwaka 2022 [2]) katika wilaya 6.

  1. 17 Population Distribution and Average Annual Intercensal Growth Rate by Region, Tanzania, Tanzania in Figures, tovuti ya Tanzania National Bureau of Statistics, iliangaliwa Septemba 2017
  2. https://www.nbs.go.tz

Previous Page Next Page






إقليم جيتا Arabic TanzaniaGeitaGola AVK Regió de Geita Catalan Geita Region CEB Geita (Region) German Geita Region English Regiono Geita EO Región de Geita Spanish Geita piirkond ET استان گیتا FA

Responsive image

Responsive image