Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Krioli

Bango barabarani likitumia krioli ya Guadeloupe.

Krioli (kwa Kiingereza: creole language) ni jina la kutaja lugha yoyote[1][2][3] iliyokua kutokana na lugha mbili au zaidi kukutana na kuingiliana. Hivyo inatokana na matumizi ya pijini kwa muda mrefu, yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini kwanza.

Kuna lugha za Krioli nyingi duniani. Lugha hizo huwa na miundo changamano. Pia zina msamiati mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.

Idadi ya lugha za aina hiyo ni walau 100, na nyingi kati yake zimetokana na lugha za Ulaya.

Krioli kubwa zaidi ni ile ya Haiti, yenye wasemaji zaidi ya milioni 10[4].

  1. The study of pidgin and creole languages
  2. "Language varieties: Pidgins and creoles" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-07-12. Iliwekwa mnamo 2019-10-05.
  3. Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average
  4. Valdman, Albert. "Creole: The national language of Haiti". www.indiana.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-26. Iliwekwa mnamo Oktoba 9, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Previous Page Next Page






Kreools AF Kreolsprachen ALS لغة مولدة Arabic Llingua criolla AST Крэольскія мовы BE Basa peranakan BEW Креолски език Bulgarian Yezhoù kreolek BR Llengua criolla Catalan Kreolština Czech

Responsive image

Responsive image