Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kimarathi

Kimarathi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamarathi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimarathi imehesabiwa kuwa watu 71,700,000. Pia kuna wasemaji nchini Morisi na Israel ambao idadi yao haijulikani Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimarathi iko katika kundi la Kiaryan.


Previous Page Next Page