Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kilabu

Kilabu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Walabu. Idadi ya wasemaji wa Kilabu imehesabiwa kuwa watu 1600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilabu iko katika kundi la Kioseaniki.


Previous Page Next Page






Labu language English Pagsasao a Labu ILO Lenga Labu PMS

Responsive image

Responsive image