Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Kamusi Kuu ya Kiswahili

Kamusi Kuu ya Kiswahili (KKK) ni kamusi ya lugha ya Kiswahili iliyotolewa na Baraza la Kiswahili la Taifa la Tanzania mwaka 2015 baada ya maandalizi ya miaka minne[1].

Toleo hilo limechapishwa na kusambazwa na Longhorn. Mwaka 2017 ilipatikana pia kama app ya android kwa ajili ya mitambo ya simujanja[2].

  1. Kamusi Kuu ya Kiswahili yazinduliwa Tanzania, tovuti ya BBC ya 19 Juni 2017, iliangaliwa Oktoba 2020
  2. See secret apps Kenyan children are downloading before KCPE & KCSE, tovuti ya tuko.co.ke ya 19 Juni 2017, iliangaliwa Oktoba 2020

Previous Page Next Page








Responsive image

Responsive image