Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Haki ya kuishi

Waandamanaji wa Venezuela mnamo 2014 na bango lililosomeka "Amani; Uhuru; Haki; Haki ya kuishi" kwa Kiingereza.

Haki ya kuishi inatokana na imani kwamba binadamu ana haki ya kuishi na haswa, hapaswi kuuawa na mtu au kitu kingine, ikiwa pamoja na serikali. Dhana ya haki ya kuishi inatokana na mijadala juu ya masuala ya adhabu ya kifo, vita, utoaji mimba, kifo cha hiari, ukatili wa polisi, mauaji wakati wa kujihami, na kwa wengine hata haki za wanyama. Baadhi ya watu hawakubaliani juu ya maeneo ambayo kanuni hii inatumika, pamoja na masuala kama haya yaliyoorodheshwa hapo awali.


Previous Page Next Page