Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Dubu Mdogo (kundinyota)

Nyota za kundinyota Dubu Mdogo (Ursa Minor) katika sehemu yao ya angani

Dubu Mdogo (kwa Kilatini na Kiingereza Ursa Minor) [1]. ni jina la kundinyota kwenye nusutufe ya kaskazini ya dunia yetu.

Nyota angavu zaidi ni Kutubu (en:Polaris) iliyotumiwa sana na mabaharia kwa sababu inaonyesha daima upande wa kaskazini.

  1. Uhusika milikishi (en:genitive) ya neno "Ursa Minor" katika lugha ya Kilatini ni " Ursae Minoris " na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Ursae Minoris, nk.

Previous Page Next Page