Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Afrika Kusini

Jamhuri ya Afrika Kusini
Kaulimbiu ya taifa: "ǃke e: ǀxarra ǁke" (Kixam)
"Watu anuwai huungana"
Wimbo wa taifa: "Wimbo wa taifa wa Afrika Kusini"
Mahali pa Afrika Kusini
Mahali pa Afrika Kusini
Ramani ya kijiografia ya Afrika Kusini
Ramani ya kijiografia ya Afrika Kusini
Miji mikuuPretoria (serikali)
Cape Town (bunge)
Bloemfontein (mahakama)
Mji mkubwa nchiniJohannesburg
26°12′ S 28°2′ E
Lugha rasmi
Makabila (asilimia)81.4 Weusi
8.2 Machotara
7.3 Wazungu
2.7 Waasia
SerikaliJamhuri
 • Rais
 • Makumu wa Rais
 • Mwenyekiti
 • Spika
 • Jaji Mkuu
Cyril Ramaphosa
Paul Mashatile
Amos Masondo
Mapisa-Nqakula
Raymond Zondo
Uhuru kutoka Uingereza
Mwisho wa Apartheid
31 Mei 1961

4 Februari 1997
Eneo
 • Eneo la jumlakm2 1 221 037
 • Maji (asilimia)0.380
Idadi ya watu
 • Sensa ya 202262 027 503
Pato la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD trilioni 1.038
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 16 625
Pato halisi la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD bilioni 401.466
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 6 426
Maendeleo (2022)Punguko 0.717 - juu
SarafuRandi ya Afrika Kusini
Majira ya saaUTC+2 (Afrika Kusini)
Muundo wa tarehemwaka/mwezi/siku
Upande wa magariKushoto
Msimbo wa simu+27
Msimbo wa ISO 3166ZA
Jina la kikoa.za

Afrika Kusini ni nchi kubwa ya Afrika ya Kusini yenye wakazi takriban milioni 54.

Imepakana na Namibia, Botswana, Zimbabwe, Msumbiji na Uswazi. Nchi nzima ya Lesotho iko ndani ya eneo la Afrika Kusini.

Mji mkubwa ni Johannesburg. Majukumu ya mji mkuu yamegawiwa kati ya miji mitatu: Cape Town ni makao ya Bunge, Pretoria ni makao ya Serikali na Bloemfontein ni makao ya Mahakama Kuu.

  1. The Constitution of the Republic of South Africa (PDF) (tol. la 2013 English version). Constitutional Court of South Africa. 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 23 Agosti 2018. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Previous Page Next Page






Аладатәи Африка AB Afrika Tunong ACE Къыблэ Африкэ Республикэ ADY Suid-Afrika AF Südafrika ALS ደቡብ አፍሪካ AM South africa AMI Sudafrica AN Sūðaffrica ANG Afirika Osiki ANN

Responsive image

Responsive image