Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wakaguru

Wakaguru (au Wakagulu[1]) ni kabila la watu wa Tanzania ambalo ni mojawapo ya makabila makuu katika mkoa wa Morogoro[2]. Huko wanaishi hasa katika wilaya za Kilosa na Gairo. Pia wako katika mkoa wa Dodoma (Mpwapwa na Kongwa), Mkoa wa Manyara (Kiteto) na sasa wanatanuka zaidi maeneo ya Handeni na Kilindi mkoani Tanga.

Lugha yao ni Kikagulu.

Mtawala wao hujulikana kwa jina la Mundewa. Na wanamwabudu mungu wao anayejulikana kwa jina la Mulungu/Mateke/Mundewa.

  1. Lugha yao haina "r" ila "l"; vilevile haina "z" ila "s"; pia haina "v" ila "f" (mfano fiasi ikiwa na maana ya viazi)
  2. Wakagulu

Previous Page Next Page






شعب كاجورو ARZ Kaguru people English Kaguruoj EO Kagorot Finnish Kaguru (peuple) French Каколе (халық) KK Каколё (эл) KY Каколё Russian Kakolyo UZ

Responsive image

Responsive image