Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


RITES

Kampuni ya RITES

RITES (Kii: Rail India Technical and Economic Services) ni kampuni ya Uhindi inayoshughulika mambo ya reli na ujenzi kwa barabara, viwanja vya ndege, mabandari na mipango ya miji.

Ilianzishwa mwaka 1974 kama mkono wa nje ya shirika ya reli ya Uhindi kwa shabaha ya kushauri utawala wa reli nje ya Uhindi. Baada ya kustawi katika eneo hili kampuni ilianza pia ishauri wa ujenzi na utawala wa taasisi nyingine zinazohusu usafirishaji wa watu na bidhaa na kupanga njia za trafiki.

Imeendelea kupanga na kusimamia miradi katika Asia, Afrika na Amerika Kusini.

Jumla imeajiri watu 2,000.


Previous Page Next Page