Auzia

Mahali pa Auzia katika ramani ya Algeria kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 36°08′50″N 3°41′26″E / 36.147222°N 3.690556°E / 36.147222; 3.690556

Auzia lilikuwa koloni la Warumi na Waberber katika eneo la Sour El-Ghozlane, kwa sasa ni Algeria. Eneo hilo lilikuwa takribani kilomita 150 kusini-mashariki mwa Algiers katika jimbo la kale la Mauretania Caesariensis.


Auzia

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne